Maisha ya Nabii Isa (AS) katika Qur’ani/2
IQNA - Isa au Yesu (AS) aliteuliwa na Mwenyezi Mungu kuwaita Wana wa Israili (Bani Israil) kuelekea katika Taudi au kumpwekesha Mwenyezi Mungu, na pia kuwathibitishia kwamba alikuwa nabii kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479964 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28
…Na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu...
Qur'ani Tukufu Sehemu ya Aya ya 87 ya Surat al Al Baqara
Habari ID: 3471329 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29